Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

West Ham warudi upya kwa Maguire

Maguire Harry Ll.png Harry Maguire

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya West ham bado ina mpango wa kumsajili mlinzi wa Kimataifa wa England na klabu ya Manchester United Harry Maguire katika dirisha la usajili la January huku wakitumia nafasi ya Maguire kutopata nafasi ya kucheza katika kikosi cha Manchester United.

Klabu ya West ham bado ina mpango wa kumsajili mlinzi wa Kimataifa wa England na klabu ya Manchester United Harry Maguire katika dirisha la usajili la January huku wakitumia nafasi ya Maguire kutopata nafasi ya kucheza katika kikosi cha Manchester United. Katika dirisha la usajili lililopita West ham walikuwa kwenye mazungumzo mazuri lakini dili lilifeli juu ya kumsajili Maguire lakini wameongeza nguvu zaidi ili katika dirisha la usajili la January wahakikishe wanamsajili mlinzi huyo wa kimataifa wa England.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live