Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

West Ham wapata mrithi wa David Moyes

Julen Lopetegui Julen Lopetegui

Tue, 7 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa zamani wa klabu ya Real Madrid, Julen Lopetegui amefikia makubaliano na timu ya West Ham United kwa ajili ya kuchukua mikoba ya David Moyes kama kocha mkuu klabuni hapo kuanzia msimu ujao.

Hayo yamekuja baada Moyes kutarajia kuondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo kwa kupoteza mechi 13 ikiwemo kipigo cha 5-0 dhidi ya Chelsea jana.

David Moyes alingia West Ham tokea mwaka 2019 akitokea klabu ya Sunderland.

Ingawa kunatetesi kuwa kocha wa klabu ya Sporting Lisbon y, Ruben Amorim alikuwa akihusishwa na kuchukua mikoba ya Moyes lakini Lopetegui mwenye umri wa miaka 57 raia wa Uhispania amekuwa bora zaidi katika timu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live