Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

West Ham kumtupia virago David Moyes

Moyes Dfgg.jpeg Kocha wa West Ham, David Moyes

Sat, 4 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wagonga nyundo wa London, West Ham wanatarajiwa kuachana na kocha wao David Moyes mwishoni mwa msimu huu.

Wagonga nyundo wa London, West Ham wanatarajiwa kuachana na kocha wao David Moyes mwishoni mwa msimu huu. West Ham yenye maskani yake London, Wataingia sokoni kumtafuta meneja mpya kwa ajili ya msimu ujao wa 2024-25.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live