Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

West Ham United yaichapa Brentford

West Ham United Yaichapa Brentford West Ham United yaichapa Brentford

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jaron Bowen ametupia hat-trick West Ham United ikiishushia kichapo Brentford katika dimba London kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.

FT: West Ham United 4-2 Brentford

⚽⚽⚽ Bowen 5’ 7’ 63’

⚽ Emerson 69’

⚽ Maupay 13’

⚽ Wissa 82’.

Huko Serie A, Paulo Dybala amefunga hat-trick na kuisaidia AS Roma kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Torino katika dimba la Olimpico, Roma.

FT: AS Roma 3-2 Torino

⚽⚽⚽ Dybala 42’ 57’ 69’

⚽ Zapata 44’

⚽ Huijsen (og) 89’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live