Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wenyeji Kombe la Dunia waanza kwa kipigo

Kombe La Duniani.jpeg Wenyeji Kombe la Dunia waanza kwa kipigo

Sun, 20 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ecuador wamewastajabisha Waarabu baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2:0 dhidi ya wenyeji Qatar katika fainali za Kombe la Dunia zilizoanza rasmi leo katika uwanja wa Al-Bayt.

Kwa mara ya kwanza mwenyeji kaanza vibaya na Ecuador wamevuna walichopanda, pointi tatu muhimu na sasa wanaongoza Kundi A.

Magoli ya Ecuador yamefungwa na Enner Valencia katika Dakika ya 16 na 31. Magoli mengine ya Valencia ni yale ya Mwaka 2014 alipocheza na Ecuador dhidi ya Switzerland (2014), na Honduras (2014) Ila refa kama kamwaga njugu za njano nyingi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live