Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wenger akataa mwaliko wa Arsenal

Arsenal Arsene Wenger Wenger 3379034 Wenger akataa mwaliko wa Arsenal

Mon, 24 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa zamani wa Klabu ya Arsenal Arsene Wenger amekataa mwaliko wa kurudi kwenye klabu hiyo kuona sanamu yake ikizinduliwa.

Meneja wa zamani wa Klabu ya Arsenal Arsene Wenger amekataa mwaliko wa kurudi kwenye klabu hiyo kuona sanamu yake ikizinduliwa. Maandalizi ya sanamu hiyo yapo kwenye hatua za mwisho. Aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Arsenal David Dein amedai kuwa Wenger bado hajakubali mwaliko.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live