Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wenger: Afrika haipo mbali kubeba Kombe la Dunia

Wenger Afroak World Cup.jpeg Wenger: Afrika haipo mbali kubeba Kombe la Dunia

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa Arsenal Arsène Wenger amesema kwa namna mpira wa miguu ulivyokuwa barani Afrika anaamini sio miaka mingi tutashuhidia bingwa wa Kombe la Dunia akitoka Afrika

Kocha wa zamani wa Arsenal Arsène Wenger amesema kwa namna mpira wa miguu ulivyokuwa barani Afrika anaamini sio miaka mingi tutashuhidia bingwa wa Kombe la Dunia akitoka Afrika “Africa kuna watu zaidi ya Bilioni 1.4 hii ni hazina ya vipaji vya mpira wa miguu , binafsi ndoto yangu ni kuona mataifa ya Afrika yanakuwa shindani kwenye kombe la Dunia , na naamini hawapo mbali na taji wana kila kitu”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live