Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri wa Michezo Ivory Coast kumshuhudia Pacome kesho

Waziri Wa Ivory Coast Waziri wa Michezo Ivory Coast kumshuhudia Pacome kesho

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast Adjé Silas ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi. - Katika mazungumzo yao viongozi hao wamejadili ushirikiano wa nchi hizo kwenye Sekta ya michezo ambapo Ndumbaro amemualika Silas kushuhudia mechi ya Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Aprili 20, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. - Ndumbaro amesema anamualika ili aone ladha ya mechi hiyo kubwa Afrika Mashariki pamoja na kuwaona wachezaji nyota wa timu hizo akiwemo mchezaji Pacome Zouzoua wa Yanga ambaye ni raia wa Ivory Coast. - Silas yupo nchini kwa ziara ya kikazi ambapo pia atashiriki hafla ya kuingia makubaliano ya ushirikiano kati ya Tanzania na Ivory Coast katika sekta ya michezo itakayofanyika Aprili 21, 2024 Jijini Dar Es Salaam. -

Chanzo: www.tanzaniaweb.live