Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri awapa Neema Bodi ya Filamu, awapga dongo Masumbwi

Pindi Chana Dkt Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana

Tue, 25 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana ameshuhudia utiaji saini wa Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Bodi ya Filamu Tanzania na Taasisi ya Mashirikiano Kimataifa (BFIC) kutoka Korea Kusini jana Aprili 24, 2023 Mtumba jijini Dodoma,

Akizungumza katika hafla hiyo Dkt Pindi Chana amesema;

"Natoa wito kwa Shirikisho la Ngumi nchini, lisimamie taratibu za mchezo huu kulinda maslahi ya Wana masumbwi pamoja na kutoa fursa kwa vijana wengi zaidi kushiriki mchezo huu"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live