Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri ampa Aziz KI milioni 1 kwa bao alilowafunga Simba

Mavunde X Azizi KI Waziri ampa Aziz KI milioni 1 kwa bai dhidi ya Simba

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma Mjini ameonyesha chati yake na kiungo wa Yanga, Aziz KI akimpa ahadi ya Sh1 milioni endapo angefunga bao katika mechi ya dabi dhidi ya Simba.

Aziz KI alifunga bao la tatu katika ushindi wa mabao 5-1.

Mavunde pia ni Mjumbe wa Baraza la Wadhamini Yanga aliwahi pewa zawadi ya mpira wakati Aziz KI alipofunga hat-trick kwenye mechi dhidi ya Azam FC.

Tazama mawasiliano ya Mheshimiwa Mavunde na Aziz KI;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: