Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wazawa waleta mgomo Tabora United

Tabora Wazawa Wagoma.jpeg Wazawa waleta mgomo Tabora United

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wa klabu ya Tabora United raia wa Tanzania jana waligoma kufanya mazoezi na timu baada ya kucheleweshewa malipo ya mshahara wao wakati wachezaji wa kigeni wote walikuwa wameshapata stahiki zao.

Tabora United jana ilikuwa na mazoezi ya Asubuhi na Jioni lakini yote hayakufanyika na kulazimika wachezaji wa kigeni kufanya "Road Work" maeneo ta Ipuli, Cheyo na Kanyenye mkoani Tabora.

Hii ni hatari kwa soka letu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live