Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wazawa wafungiwa milango Yanga

Ladack Chasambi Vv Kiungo wa Mtibwa Sugar Ladack Chasambi

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uwezekano wa Kiungo wa Mtibwa Sugar Ladack Chasambi (19) kujiunga na Yanga Sc ni mdogo sana na hii ni baada ya Uongozi wa klab ya Hiyo kuwa kimya kwa muda mrefu,

Pia inasemekana klab hiyo haina mpango wa kufanya ingizo lolote la Wachezaji wazawa kwa dirisha dogo hili,

Nguvu zaidi wamezielekeza kuboresha safu ya ushambuliaji wa kati ambayo tayari wameshaipata saini mshambuliaji huyo wa kigeni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live