Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wawili wayimuliwa Qatar kwa ushoga

Adwgty Wawili wayimuliwa Qatar kwa ushoga

Wed, 30 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shabiki wa soka wa Timu ya Taifa ya Marekani jana alilazimika kuondolewa uwanjani wakati wa mchezo wa USA dhidi ya Iran uliyoisha kwa USA kushinda 1-0.

Shabiki huyo aliondolewa na watu wa usalama baada ya kuonekana kavaa kitamba chenye rangi ya upinde wa mvua (rainbow) ambazo ni rangi zinazoashiria kuunga mkono na kutetea ushoga.

Hata hivyo Jumatatu ya Novemba 28, 2022 kuna shabiki mwingine Mario Ferri (35) alivamia uwanjani akiwa na bendera ya ushoga wakati wa game ya Ureno na Uruguay amekamatwa mamlaka za Qatar zimesema hatofunguliwa kesi ila anaondolewa nchini Qatar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live