Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wawili Azam FC waomba kuvunja Mikataba yao

Wawili Azam Fc Wachezaji wa Azam wenye uraia wa Senegal Malickou Ndoye (24) na Cheick Sidibe (25)

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wa Azam wenye uraia wa Senegal Malickou Ndoye (24) na Cheick Sidibe (25) wameomba kuondoka ndani ya Klabu ya Azam FC.

Wachezaji wa Azam wenye uraia wa Senegal Malickou Ndoye (24) na Cheick Sidibe (25) wameomba kuondoka ndani ya Klabu ya Azam FC. Mikataba yao inamalizika 2025, Sidibe amepoteza nafasi kwenye kikosi cha kwanza, Ndoye amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya nyonga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live