Wed, 6 Oct 2021
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Klabu ya Azam FC imethibitisha kuwasimamisha kwa muda usio na ukomo viongozi wake watatu, nahodha Aggrey Morris na wasaidizi wake Salum Abubakar na Mudhathir Yahaya.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Azam inadai kuwa wachezaji hao wa muda mrefu ndani ya kikosi cha wana lamba lamba wamesimamishwa kwa sababu za utovu wa nidhamu kwa Meja wa timu, tukioa ambalo limetokea Septemba 18
Chanzo: www.tanzaniaweb.live