Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watatu tu wenye uhakika wa kubaki United msimu ujao

Sir Jim Ratcliffe Tajiri mpya wa klabu ya Manchester United Sir Jim Ratcliffe

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tajiri mpya wa klabu ya Manchester United Sir Jim Ratcliffe anaelezwa kutaka kukibadilisha kwa ukubwa kikosi cha sasa cha klabu hiyo huku ikielezwa wachezaji watatu pekee ndio wenye uhakika wa nafasi msimu ujao.

Wachezaji hao ni Kobbie Mainoo, Alejandro Garnacho, na Rasmus Hojlund.

Taarifa zinasema baada ya vikao kadhaa vilivyofanyika, viongozi wa klabu hiyo kubwa duniani wamebariki na wako tayari kwa mabadiliko makubwa ya kikosi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live