Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watatu Simba waachwa Dar

Watatu Simba Waachwa Dar Nyota watatu wa Simba hawajasafiri na Kikosi kuelekea Morocco

Tue, 25 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Simba Augustine Okrah ameachwa katika kikosi cha wachezaji wa Simba waliondoka kuelekea Morocco kwa mechi ya marudiano dhidi ya Wydad Casablanca itakayochezwa Aprili 28.

Winga wa Simba Augustine Okrah ameachwa katika kikosi cha wachezaji wa Simba waliondoka kuelekea Morocco kwa mechi ya marudiano dhidi ya Wydad Casablanca itakayochezwa Aprili 28. Wachezaji watatu wa Simba wameachwa ambao ni Aishi Manula, Mohamed Ouattara na Augustine Okrah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live