Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watatu Ligi Kuu watimkia Ulaya

Watatu Nyota Watatu Ligi Kuu watimkia Ulaya

Tue, 11 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya FC West Armernia inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Nchini Armenia imekamilisha Usajili Nyota watatu kutoka Tanzania ambao ni Yusuph Athuman kutoka Yanga, Erick Mwijage kutoka Kagera na Abal Kassim kutoka Ruvu Shooting.

Klabu ya FC West Armernia inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Nchini Armenia imekamilisha Usajili Nyota watatu kutoka Tanzania ambao ni Yusuph Athuman kutoka Yanga, Erick Mwijage kutoka Kagera na Abal Kassim kutoka Ruvu Shooting. Kila la heri kwa nyota hao wa Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live