Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watano wasimamishwa kisa matokeo ya Dabi

Bannn Watano wasimamishwa kisa matokeo ya Dabi

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beşiktas imewasimamisha wachezaji wake watano kwenye kikosi chao kutokana na kucheza chini ya kiwango na kutoelewana uwanjani baada ya kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Fenerbahçe siku ya Jumamosi Disemba 9

Beşiktas imewasimamisha wachezaji wake watano kwenye kikosi chao kutokana na kucheza chini ya kiwango na kutoelewana uwanjani baada ya kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Fenerbahçe siku ya Jumamosi Disemba 9 Wachezaji hao ni: Eric Bailly, Vincent Aboubakar, Valentin Rosier, Rachid Ghezzal pamoja na Jean Onana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live