Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watano wapewa "Thank You" Kagera Sugar

Watano Wachezaji Watano wapewa "Thank You" Kagera Sugar

Wed, 19 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Kagera Sugar imeendelea kuwapa mkono wa kwaheri nyota wake ambapo mpaka sasa, nyota watano wamepewa ‘Thank You’.

Klabu ya Kagera Sugar imeendelea kuwapa mkono wa kwaheri nyota wake ambapo mpaka sasa, nyota watano wamepewa ‘Thank You’. Muda mfupi uliopita, Jackson Kibirige ameungana na Erick Mwijage, Meshack Mwamita, Yusuph Dunia na Abeid Athumani kwenye mlango wa kutokea kwa Wanankurukumbi hao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live