Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Washindani Ballon D'or kujulikana leo

Benzema Ballon 1.jpeg Karim Benzema ndio aliebeba Tuzo hiyo mwaka jana

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Washindani wa tuzo ya Ballon d'Or leo listi yao itatoka rasmi na mshindi atatangazwa Oktoba 30 jijini Paris, Ufaransa.

Lionel Messi ndiye anayeongoza kuchukua mara nyingi tuzo hiyo kubwa duniani akitwaa mara saba na Cristiano Ronaldo mara tano.

Mwaka jana tuzo hiyo ilienda kwa Karim Benzema akiwa Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live