Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Washambuliaji wa Yanga bado wanajitafuta

Dg Musondaa Washambuliaji wa Yanga bado wanajitafuta

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya soka ya Yanga mpaka sasa imecheza michezo 16 ya ligi kuu na kufanikiwa kufunga magoli 39 na kuruhusu magoli 8.

Katika vinara wa 10 wa kupachika magoli katika ligi kuu msimu huu yanga imeingiza wachezaji 4.

Kwenye hiyo orodha ya wachezaji wenye magoli mengi hakuna mshambuliaji hata mmoja wa Yanga.

Wachezaji wa Yanga wenye magoli mengi ligi kuu:-

1. Aziz Ki 10 (kiungo)

2. Max Nzengeli 8 (winga)

3. Mudathir Yahya 6 (kiungo)

4. Pacome Zouzoua 6 (kiungo)

Magoli ya washambuliaji wa Yanga

1. Musonda Kennedy 3

2. Mzize Clement 2

3. Joseph Guédé 0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live