Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasauzi kuibomoa Yanga

Yanga 1170x650.jpeg Wasauzi kuibomoa Yanga

Tue, 9 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu FARPost, jukwaa la habari za michezo la mtandaoni la Afrika Kusini, wamewataja nyota watano wa Yanga SC ambao wanazivutia zaidi vilabu vikubwa vya Afrika Kusini DStv Premiership na pengine wakasajiliwa huko msimu ujao.

Hii ni baada ya Yanga kusimama imara dhidi ya Mamelodi Sundowns katika michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kiasi kulazimika kuondolewa kwa mikwaju ya penalti baada ya dakika 180 za ujumla zisizo na mbabe.

Kwa mujibu wa FARPost, nyota hao watano ni; 1. Djigui Diarra (Golikipa) 2. Stephane Aziz Ki (Kiungo mshambuliaji) 3. Ibrahim Hamad (Beki wa Kati) 4. Maxi Nzengeli (Kiungo mshambuliaji) 5. Yahya Mudathir (Kiungo).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live