Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Warda aliamsha tena Pharco FC, avunjiwa Mkataba

Amr Warda Amr Warda

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Pharco FC Imevunja mkataba wa winga wake wakimataifa Misri, Amr Warda.

Warda mpaka sasa ameshatumikia vilabu 6 ndani ya mwaka huu wa 2023 pekee.

Shutuma kwake: Amekuwa hajitolei kwa klabu na wakati wa mazoezi hafanyi kwa asilimia %100.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live