Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wapinzani wa Yanga watua salama Afrika Kusini

FC Augsburg Wapinzani wa Yanga watua salama Afrika Kusini

Fri, 19 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wapinzani wa Yanga Sc kwenye mashindano ya Mpumalanga Premier’s International Cup 2024, klabu ya Augsburg ya Ujerumani imewasili Afrika Kusini tayari kwa mchezo dhidi ya Wananchi utakaopigwa Julai 20, 2024.

Wapinzani wa Yanga Sc kwenye mashindano ya Mpumalanga Premier’s International Cup 2024, klabu ya Augsburg ya Ujerumani imewasili Afrika Kusini tayari kwa mchezo dhidi ya Wananchi utakaopigwa Julai 20, 2024. Yanga nao tayari wameshatua Afrika ya Kusini tangu Julai 19, tayari kwa maadalizi ya mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: