Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wapinzani wa Yanga CAF wapasuka nyumbani

CR Blouzdad.jpeg Wapinzani wa Yanga CAF wapasuka nyumbani

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga ikitakata jana kwenye mechi ya Ligi Kuu jijini Mwanza ikiichapa Geita Gold mabao 3-0, wapinzani wao katika kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), CR Belouizdad wamechezea kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa USM Khenchela wakiwa nyumbani katika mechi ya Ligi Kuu Algeria.

Wakati Yanga ikitakata jana kwenye mechi ya Ligi Kuu jijini Mwanza ikiichapa Geita Gold mabao 3-0, wapinzani wao katika kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), CR Belouizdad wamechezea kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa USM Khenchela wakiwa nyumbani katika mechi ya Ligi Kuu Algeria. Belouizdad imecheza mechi mbili za Ligi ikishinda moja na kupoteaa moja ipo nafasi ya 11.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: