Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wapinzani wa JKT Queens Kimataifa hawa hapa

Jkt Queens Gf.jpeg Kikosi cha JKT Queens

Sun, 10 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rasmi sasa timu 6 za wanawake Afrika zimefuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa wanawake yatakayofanyika katika uwanja wa Athlètico FC d'Abidjan nchini Cote D'Ivoire.

Timu hizo ni

1. ASFAR ya Morroco ambao ni bingwa mtetezi wa mashindano hayo

2.JKT Queens (Cecafa)

3. AS Mande (Wafu A)

4. SC Casablanca (Unaf)

5. Ampem Darkoa (Watu B)

6. Mamelod Sundown (Cosafa)

Mashindano hayo yataanza Novemba 5 - 19 mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live