Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanne waibua hofu Simba kuelekea Robo Fainali

Phiri X Kanoute Sadio Kanoute na Moses Phiri

Thu, 23 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba ikijikatia tiketi ya kucheza Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kuna hofu tayari imezuka kuelekea mcheo wao wa mwisho wa kukamilisha hatua ya Makundi dhi ya Raja Casablanca.

Kuna wachezaji ambao wamepata kadi za njano katika mchezo uliopita dhidi ya Horoya na endapo watapaya kadi katika mchezo ujao dhidi ya Raja basi wanaukosa mchezo wa kwanza wa Robo Fainali.

Wachezaji ambao Simba ipo katika hatari ya kuwakosa kwenye Robo fainali ikiwa wataonyeshwa kadi za njano kwenye mechi inayofuata dhidi ya Raja Casablanca:

Kiungo mkabaji Sadio Kanoute, Joash Onyango, Saido na Moses Phiri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live