Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanaosema Al Ahly huwa anabadilika, safari hii tutabadilika naye - Ahmed Ally

Wanaosema Al Ahly Huwa Anabadilika, Safari Hii Tutabadilika Naye   Ahmed Ally Wanaosema Al Ahly huwa anabadilika, safari hii tutabadilika naye - Ahmed Ally

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema ule msemo wa Al Ahly huwa wanabadilika wakifika hatua za mtoano safari hii utakwenda kukoma kwani nao watabadilika.

Ahmed ameyasema hayo mapema hii leo Marchi 20, 2024 alipokuwa Feri jijini Dar kwenye uzinduzi wa hamasa za kuelekea mchezo wao dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Marchi 29, 2024 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar.

"Wapo wanaosema Al Ahly akifika kwenye hatua kama hizi huwa anabadilika na sisi tunasema Al Ahly akibadilika na sisi tunabadilika nae," alisema Ahmed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live