Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wananchi wamkabidhi Karia jezi

Wananchi Wamkabidhi Karia Jezi.jpeg Wananchi wamkabidhi Karia jezi

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imemkabidhi 'uzi' wake Rais wa Shirikisho la Soka Nchini, Wallace Karia ambao atauvaa siku ya Jumamosi kwenye mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns utakaopigwa Benjamin Mkapa.

Klabu ya Yanga imemkabidhi 'uzi' wake Rais wa Shirikisho la Soka Nchini, Wallace Karia ambao atauvaa siku ya Jumamosi kwenye mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns utakaopigwa Benjamin Mkapa. Mchezo huo utapigwa majira ya saa 3:00 usiku na kisha Yanga atasafiri kwenda kurudiana na Mamelodi Afrika Kusini Aprili 5, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live