Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wananchi mpo? Lomalisa yuko fiti kuivaa Medeama

Lomalisa Control Mlinzi wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wing-back wa klabu ya Yanga , Joyce Lomalisa amepona majeraha madogo aliyoyapata kwenye Mchezo wa ligi ya mabingwa Africa dhidi ya Al-Ahly wiki moja iliyopita.

Lomalisa tayari ameanza mazoezi na kikosi cha Yanga na bila shaka atakuwa fiti kuivaa Medeama.

Mtazame Lomalisa mazoezini hapa Chini;

View this post on Instagram

A post shared by Young Africans Sports Club (@yangasc)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: