Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wananchi Dimbani tena leo

Yanga Vs Hausung Wananchi Dimbani tena leo

Thu, 8 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo Alhamisi ni siku nyingine tena, timu ya Young Africans SC inashuka dimbani kumenyana na Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Mchezo huo utaanza majira ya saa 1:00 usiku ambapo tayari viingilio vimewekwa hadharani na tiketi kuanza kuuzwa tangu jana.

Viingilio vya mchezo ni Tsh 20,000 Jukwaa la V.I.P A, Tsh 10,000 (V.I.P B) na Mzunguko Tsh 5,000.

Timu hiyo leo itaingia uwanjani ikiwa inaongoza kunako msimamo wa Ligi Kuu ya NBC baada ya kukusanya pointi 34.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live