Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanajeshi wavamia Hoteli waliyofikia Stars Madagascar (+Video)

Soldiers Madagascar (600 X 581) Jeshi likizunguka Hoteli waliyofikia Stars

Sun, 14 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wanajeshi walio na silaha wamevamia hoteli waliyofikia Timu ya Taifa ya Tanzania, "Taifa Stars" katika mji wa Antananarivo nchini Madagascar.

Wanajeshi hao wameweka kambi katika korido za vyumba vya Wachezaji wa Stars wakidai kuwa kuna kesi ya uwepo wa viashiria vya kuwepo kwa wagonjwa wa Corona miongoni mwa wachezaji wa Stars.

Taifa Stars ipo nchini Madagascar kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya timu ya Taifa ya Madagascar kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia zitakazochezwa Qatar 2022.

Mchezo huo ni wa kukamilisha makundi na ni wa kundi J, ambalo linaongozwa na Benin mpaka sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live