Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanachama wa Yanga kutibiwa kwa punguzo Aga Khan

Wanachama Wa Yanga Kutibiwa Kwa Punguzo Aga Khan Wanachama wa Yanga kutibiwa kwa punguzo Aga Khan

Tue, 6 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga SC, chini ya Rais wake Eng Hersi Said (@caamil_88 ) leo hii imeingia kandarasi na Hospital ya Aga Khan, ambapo itawafanya wachezaji wa Yanga kupima afya zao, lakini pia wanachama na mashabiki wa Yanga SC kuweza kupata huduma nchi nzima kwenye Hospital za Aga Khan.

Klabu ya Yanga SC, chini ya Rais wake Eng Hersi Said (@caamil_88 ) leo hii imeingia kandarasi na Hospital ya Aga Khan, ambapo itawafanya wachezaji wa Yanga kupima afya zao, lakini pia wanachama na mashabiki wa Yanga SC kuweza kupata huduma nchi nzima kwenye Hospital za Aga Khan. Wanachana wenye kadi ya uanachama wa Yanga SC anaweza kuhudumiwa kwa punguzo la bei na mkataba wa Yanga SC na Hospital ya Aga Khan ni wa miaka miwili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live