Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wan-Bissaka kikimbilia Timu ya Taifa ya Congo

Aaron Wan Bissaka Waving At A Manchester United Match Mlinzi wa Kulia wa Manchester United Aaron Wan-Bissaka

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Kulia wa Manchester United Aaron Wan-Bissaka anapokea uwito wa kuiwakilisha DR Congo kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).

Mpaka sasa Aaron Wan-Bissaka hajaamua chochote na ikiwa atakubali basi Manchester United watakosa huduma ya mlinzi huyu mapema januari 13 - Feb 11.

Ungekuwa Wewe Aaron Wan-Bissaka ungefanyaje ukiangalia nondo za Uingereza kulia Kuna Reece James (23), Kyle Walker (33), Trent Arnold (25), Kieran Trippier (33), Rico Lewis (19)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live