Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wamorocco wafurika mijini kushangilia ushindi wa kihistoria Kombe la Dunia

Wamorocco Wafurika Mijini Kushangilia Ushindi Wa Kihistoria Kombe La Dunia Wamorocco wafurika mijini kushangilia ushindi wa kihistoria Kombe la Dunia

Wed, 7 Dec 2022 Chanzo: Bbc

Mashabiki wenye furaha walimiminika katika mitaa ya miji mikubwa ya Morocco baada ya nchi hiyo kutinga robo fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza.

Simba ya Atlas iliifunga Uhispania kwa mabao 3-0 katika mikwaju ya penalti baada ya kutoka sare tasa.

Watamenyana na Ureno Jumamosi (15:00 GMT).

"Haiwezekani sio Morocco," ndivyo Shirikisho la Soka la Morocco lilivyoelezea ushindi huo.

Fataki zilipigwa na bendera kupeperushwa katika mitaa ya mji mkuu, Rabat, huku watu wakishangilia kwa kuimba na kupiga ngoma hadi usiku wa manane.

Chanzo: Bbc