Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wamarekani waendelea kumkomalia Bernard Kamungo

Bernard Kamungoo Vs Messi Wamarekani waendelea kumkomalia Bernard Kamungo

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Fc Dallas Bernard Kamungo ameitwa kwa mara nyingine kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Marekani kinachojiandaa na michuano ya Olympic kwa ajili ya michezo ya kirafiki huko Hispania,

Bernard mzaliwa wa Kigoma,Tanzania aliwahi kuitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Juni 2023 lakini hakufanikiwa kucheza kufuatia sababu mbalimbali.

Kwasasa Mamlaka zinapambana sana japo kuna Mtihani Mkubwa sana upo mbele ya Taifa Stars ili kumshawishi aweze kuachana na timu ya Taifa ya Marekani na arudi Tanzania,

Ukivaa viatu vya Bernard Kamungo ungechagua kuchezea Taifa Gani?

1). Tanzania

2). Marekani (USA).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live