Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wallace Karia: Sijawahi kumuita Samatta Timu ya Taifa

Samatta X Karia Wallace Karia: Sijawahi kumuita Samatta Timu ya Taifa

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati mashabiki wengi wa soka nchini wakilalamikia kuitwa kwa baadhi ya wachezaji katika Kikosi cha Timu ya Taifa Stars.

Rais wa TFF, Wallace Karia amefafanua kuwa wachezaji wote wanaoitwa katika kikosi hicho huchaguliwa na Mwalimu.

Akizungumza Karia amesema;

“Kuita timu ni mwalimu ndio anaita ,kuna chombo kimezungumza kwamba mimi ndio naletewa majina ,nikaletewa majina Samatta hayupo nikamuingiza ,hakuna mwalimu ambaye atasimama na kusema TFF inamuitia timu”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live