Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waliomshawishi Nabi kuondoka Yanga, mambo magumu

Nabi Molefi Ntseki Molefi Ntseki na Nabi.

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Molefi Ntseki hajawahi kushinda mchezo wowote tangu aanze kuifundisha Kaizer Chiefs ya nxhini Afrika Kusini msimu huu.

Kaizer Chiefs ya Molefi Ntseki na msaidizi wake Arthur Zwane iko nafasi ya 13 kati ya timu 16 ikiwa imecheza mechi 3 na kufungwa mechi mbili na sare 1.

Juzi, wakiwa ugenini walipoteza kwa bao 1-0 dhidi ya TS Galaxy na kupandisha hasira za mashabiki wa Amakhosi ambao wameanzisha vuguvugu la kutaka timu iuzwe na Kocha afutwe Kazi.

Kaizer Chiefs ndiyo waliomshawishi aliyekuwa Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi kuwa wangemsajili lakini walishindwana baadhi ya vipengele katika makubaliano yao hivyo kocha huyo akaamua kutimkia FAR Rabat ya Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: