Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waliokomba tuzo za TFF ni hawa

Yanga AAI4lM.jpeg Waliokomba tuzo za TFF ni hawa

Fri, 2 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa Agosti Mosi, mwaka huu zimefanyika tuzo za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika Ukumbi wa Super Dome jijini Dar es Salaam huku Yanga waking’ara katika tuzo hizo.

TUZO ZA TFF KWA 2024

1: Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC (MVP) = Stephane KI Aziz kutoka Young Africans

2: Mchezaji Bora wa kiume anayecheza nje ya Tanzania = Mbwana Samatta kutoka PAOK

3: Mchezaji Bora wa kike anayecheza nje ya Tanzania = Aisha Masaka kutoka Brighton

4: Goli Bora = Kipre Junior kutoka Azam kwa sasa yupo MC Alger ya Algeria

5: Kiungo Bora wa Ligi Kuu ya NBC = Stephane KI Aziz kutoka Young Africans

6: Beki Bora wa Ligi Kuu ya NBC = Ibrahim Bacca kutoka Young Africans

7: Golikipa Bora wa Ligi Kuu ya NBC = Ley Matampi kutoka Coastal Union

8: Golikipa Bora - CRDB BANK FÉDÉRATION CUP = Djigui Diarra kutoka Young Africans

9: Mchezaji Bora Chipukizi wa Ligi Kuu ya NBC = Raheem Shomari kutoka KMC

10: Mfungaji bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB Bank = Clement Mzize

11: Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC = Stephane KI Aziz kutoka Young Africans

12: Kocha Bora wa Ligi ya Wanawake = Juma Mgunda kutoka Simba Queens

13: Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC = Miguel Gamondi kutoka Young Africans

14: MVP wa Kombe la Shirikisho la CRDB Bank = Feisal Salum kutoka Azam

15: Mchezaji bora ligi kuu ya wanawake TWPL (MVP) = Aisha Mnunka kutoka Simba Queens.

Mchezaji Bora Chipukizi Kike: Ester Maseke

Kamishina Bora: Hamis Kitilla

Mchezaji Bora wa kike : Amina Bilal

Mfungaji bora WPL: Aisha Mnuka

Mchezaji bora U-20: Bruno Natal

Mwamuzi Bora: Ahmed Arajiga

Mwamuzi Bora Wanawake: Amina Kyando

Kipa Bora WPL: Caroline Rufo

Mchezaji bora NBC Championship: Edgar William

Mchezaji bora Soka Ufukweni: Jaruph Juma

Tuzo ya Heshima: Leodgar Tenga

Tuzo ya Rais wa TFF: Said El Maary

Tuzo ya Heshima Wanawake: Juma Bomba

KIKOSI BORA LIGI YA WANAWAKE

1 . Caroline Rufo

2. Ruth Ngosi

3. Anastazia Katunzi

4. Vaileth

5. Fatma Issa

6. Kaeda Wilson

7. Vivian Corazone

8. Riticia

9. Jentrix Shikangwa

10. Aisha Mnuka

11. Stumai Abdallah

KIKOSI BORA CHA LIGI KUU BARA

Ley Matampi

Khouassi Yao

Mohamed Hussein

Ibrahim Bacca

Dickson Job

Mudathir Yahya

Maxi Nzengeli

Feisal Salum

Waziri Junior

Stephanie Aziz Ki

Kipre Junior

#TFFAWARDS2024

Chanzo: www.tanzaniaweb.live