Charles Abel, Mwananchi
Zimebaki wiki chache kabla ya kufunguliwa kwa msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2019/2020 huku idadi kubwa ya timu zikiwa katika maandalizi.
Uimarishaji wa vikosi kwa kusajili nyota wapya, kuongezea mikataba wale wa zamani na kutema baadhi ya wachezaji ambao wameshindwa kuonyesha kiwango kizuri, ni sehemu ya mikakati ya timu katika maandalizi hayo.
Pia wapo wachezaji ambao wametolewa kwa mkopo kwenda timu nyingine na kuna ambao hawajaongezewa mikataba baada ya ile ya awali kumalizika.
Pamoja na kuanza maandalizi, zipo timu ambazo zimekamilisha usajili wake na baadhi hazijakamilisha wala kutangaza wachezaji gani wanaingia, wapi wanatoka na wanaobaki.
Spoti Mikiki inakuletea orodha ya majina ya wachezaji walioingia na kutoka katika klabu mbalimbali za Ligi Kuu kadri ulivyokamilika hadi sasa.
Pia Soma
- GOZI LA NG'OMBE: Griezmann, vazi la Barcelona lina taabu yake
- Kahata aeleza namna Kagere alivyomng’oa Gor Mahia
- Mabeki 10 bora tishio Ulaya
Walioingia
Miraji Athumani, Kennedy Juma, Tairone Santos da Silva, Gerson Fraga Viera, Wilker Henrique da Silva, Francis Kahata, Deo Kanda, Sharaf Shiboub, Ibrahim Ajibu, Gadiel Michael na Beno Kakolanya.
Waliotoka
Mohammed Rashid, Mohammed Ibrahim, Paul Bukaba, Marcel Kaheza, Adam Salamba, Deogratias Munishi, Abdul Selemani, Asante Kwasi, Zana Coulibaly, Haruna Niyonzima, Emmanuel Okwi, Nicolas Gyan, James Kotei, Emmanuel Mseja na Said Mohammed.
2.Yanga
Walioingia
Patrick Sibomana, Issah Bigirimana, Metacha Mnata, Farouk Shikalo, Seleman Mustafa, Mapinduzi Balama, Lamine Molo, Muharami Issa ‘Marcelo’, Sadney Urikhob, Maybin Kalengo, Juma Balinya, Ally Sonso na Ally Ally.
Waliotoka
Abdallah Shaibu, Pius Buswita, Beno Kakolanya, Matheo Anthony, Baruani Akilimali. Said Musa, Yusuph Mhilu, Haji Mwinyi, Ibrahim Hamid, Thabani Kamusoko na Amissi Tambwe.
3.Azam
Walioingia
Richard Djodi, Emmanuel Mvuyekure, Seleman Ndikumana, Kassim Khamis na Iddi Seleman ‘Nado’.
Waliotoka
Joseph Kimwaga, Ismail Gambo, Hassan Mwasapili, Ramadhan Singano, Tafadzwa Kutinyu, Enock Atta, Stephane Kingue na Daniel Lyanga.
Walioingia
Salim Aiyee, Ramadhani Kapela, Vitalis Mayanga, Baptiste Mugiraneza, Kenny Ally, Melly Sivirwa, Besala Bokungu, Abdallah Mfuko, Amos Charles na Mohammed Samatta.
Waliotoka
Yusuph Abdul, Ally Ally, Masoud Abdallah, Mohammed Rashid, Bryson Rafael,Carlos Protas
5.Prisons
Walioingia
Ramadhani Ibata, John Sungura, Prosper Mwangupili, Fredy Chudu, Salumu Bosco, Jeremia Kisubi, Dotto
Ramadhani Hamidu Daudi, Samson Baraka, Boniphace Chau, Philimon Ramadhani, Adily Buha na Sijalu Nassibu.
Waliotoka
Aron Kalambo, Adam Adam, Kassim Kilungo, James
Mwasote, Innocent Madilile, Elisha kibagwa na Kelvin Friday.
6.Namungo
Walioingia
Mohamed Ibrahim, Paulo Bukaba, Carlos Protas, Nurdin Barora, Styve Nzigamasabo, Abdul Waheed Adesola, Stephen Duah, Toure Sie Leopold, Sina Jerome na Bigirimana Blaise.
Waliotoka
Oscar Masai, Mbaraka Yusuph, Steve, Mangwanja, George Banda, Nguluko Machele, Jamal Machelenga, Fred Mlelwa, Rajab Mlangali, Mustapha Makacho, Ramadhani ‘Wasso’ na Calvin Faru.
7.Kagera Sugar
Benedictor Tinoco, Abdul Swamad Kassim, Moussa Hadji, Awesu Awesu, Yusuph Mhilu, Geoffrey Mwashiuya, Nassoro Kapama, Abdallah Seseme, Hassan Isihaka, Evarist Mjwahuki, Zawadi Mauya, Erick Kyaruzi, Erick Mwaijage na Haroun Kheri.
George Kavila, Ramadhani Kapera, Omari Daga, Venance Ludovic,
8.Alliance FC
Walioingia
Hussein Kasanga, Dany Manyenye, Erick Murilo.
Waliotoka
Ibrahim Isihaka, Hussein Javu, Mapinduzi Balama, Paul Maona, Blaise Bigirimana, Dickson Ambundo na
9.Mbao FC
Walioingia
Yusuph Athuman, Sospeter Maiga, Rajab Rashid, Kauswa Bernard, John Mtobesya, Waziri Junior, Mosses Nassoro, Greyson Gwalala.
Waliondoka
David Mwassa, Abubakar Ngalema, Hussein Kasanga, Erick Murilo, Amimu Abdulkarim, Hashim Musa
10.JKT Tanzania
Walioingia
Jabir Aziz, Daniel Lyanga, Adam Adam na Adeyoum Ahmed
Waliotoka
Nassoro Kapama, Ally Shiboli
11. Ndanda FC
Hussein Javu, Ally Mustafa, Paulo Maona
Waliotoka
Samson Nsata, Emmanuel Memba, Abdallah Mfuko, Yusuph Mhilu, Vitalis Mayanga, Hassan Maulid, Yassin Mustapha, Baraka Majogoro, Augustine Samson,
12.Mbeya City
Waliotoka
Frank Ikobela, Erick Kyaruzi, Mohammed Samatta
13.Biashara United
Walioingia
Salum Chuku, James Mwasote, Joseph Kimwaga, Khamis Batozi.
Walioondoka
Joseph Mapembe, Nurdin Barola, Dany Manyenye, Waziri Junior
14.Lipuli
Walioingia
Mwinyi Ahmed Elliasa, Duchu Emmanuel na Agathony Mkwando.
Waliotoka
Zawadi Mauya, Mohamed Yusuph, Miraji Athumani, Paul Ngalema na William Lucian.
15. Polisi Tanzania
Walioingia
Ditram Nchimbi, Mohammed Yusuph, Erick Msagati, Idd Mobby, Hassan Nassor Maulid, Yassin Mustapha, Baraka Majogoro,Pato Ngonyani, William Lucian.
Walioingia
Ismail Mohamed, Pascal Ndagha, Pius Luchangula, Said Mtikila, Said Mkwazu na Herman Frimpong
Waliotoka
David Kissu, Habib Kiyombo, Awesu Awesu, Geoffrey Mwashiuya, Ally Mustafa na Mohamed Abdallah.
17.Mtibwa Sugar
Walioingia
Abdulhalim Humud, Mohamed Abdallah, Said Mohamed na Awadh Salum.
Waliotoka
Rodgers Gabriel, Hassan Isihaka, Benedictor Tinoco, Ally Shomary na Kelvin Sabato.
18.Mwadui FC
Walioingia
Musa Runi, Augustine Samson, Melikiad Mazela, Venance Ludovic, Muksin Ulaya, Marick Kapolo, Abuu Kambi, Fadhil Masoud, Musa Nampaka, Hashim Musa, Omari Daga, Emmanuel Memba na Rodgers Gabriel.