Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Walikosa Taji Arsenal wakabeba nje ya Arsenal

Cesc Fabregas Robin Van Persie Everton Arsena 2347820 Fabregas na Robin Van Persie

Tue, 21 May 2024 Chanzo: Nipashe

Hawa ni baadhi ya wachezaji waliopita Arsenal bila kubeba kombe la Ligi kuu lakini baada ya kuondoka wakaenda kushinda sehemu nyingine .

Van Persie alibeba na Man United

Samir Nasri alibeba na Man City Man city

Alex Song alibeba na Barcelona

Fabregas alibeba na Chelsea

Gnabry alibeba na Bayern

Giroud alibeba na AC Milan

Xaka amebeba na Bayer 04 Leverkusen

Chanzo: Nipashe