Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakili Yanga: Wanaharakati jitokezeni mumsaidie kijana, hana furaha

Simon X Dube Wakili wa Klabu ya Yanga Simon Patrick

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakili wa Klabu ya Yanga Simon Patrick (@simon.esq )amezungumza juu ya kile kinachoendelea cha Mshambuliaji Prince Dube ambaye ameomba kuondoka katika Klabu yake ya Azam FC akisema hana furaha, akilifananisha sakata hilo na lile la Fei Toto ambalo wana harakati wengi walijitokeza kumtetea Fei akiwataka na sasa wajitokeze pia wamsaidie Dube.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wakili Simon Patrick ameandika;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: