Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakijichanganya tu! Robo Fainali wataitazama jukwaani

Musonda X Mudathir Kennedy Musonda na Mudathir Yahya

Thu, 23 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga imebakisha mchezo mmoja dhidi ya TP Mazembe utakaopigwa Lubumbashi Machi 2, ambao kwa Yanga ni wa kukamilisha ratiba wa kukamilisha hatua ya Makundi.

Wachezaji ambao Yanga ipo katika hatari ya kuwakosa kwenye Robo fainali ikiwa wataonyeshwa kadi za njano kwenye mechi inayofuata dhidi ya TP Mazembe.

Mlinzi wa kati Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya, Aziz Ki na Kennedy Musonda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live