Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakati mgumu kwa Makampuni ya Pombe Qatar

Qatar 2022 World Cup Wakati mgumu kwa Makampuni ya Pombe Qatar

Tue, 15 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Budweiser ambao ni Wadhamini wa Kombe la Dunia 2022, wametakiwa kuhamisha Maduka yao ya Pombe ambayo wameshayaweka nje ya kila Viwanja vyote vitakavyotumika kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia.

Kampuni ya Budweiser ambao ni Wadhamini wa Kombe la Dunia 2022, wametakiwa kuhamisha Maduka yao ya Pombe ambayo wameshayaweka nje ya kila Viwanja vyote vitakavyotumika kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia. Qatar imeitaka Kampuni hiyo kuhakikisha kuwa maduka hayo hayaonekani wazi sana maana Pombe sio kitu muhimu haswa kwenye mashindano hayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live