Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakala azungumzia uhamisho wa Davies kutua Madrid

Alphonso Davies Alphonso Davies

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakala wa Davies Huoseh amesema: "Kuna nia kutoka kwa timu nyingi na nina uhakika kwamba Real Madrid inaweza kuwa moja ya klabu ambazo zingependa kumsajili Alphonso".

Wakala wa Davies Huoseh amesema: "Kuna nia kutoka kwa timu nyingi na nina uhakika kwamba Real Madrid inaweza kuwa moja ya klabu ambazo zingependa kumsajili Alphonso". "Kuna vilabu kadhaa vya Ligi ya England pia, zote zinataka kuwa na moja ya mabeki bora wa kushoto duniani. Tutaona kitakachotokea".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live