Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wajumbe wasusia uchaguzi baada ya majina kukatwa kiholela

UFA Wajumbe wasusia uchaguzi baada ya majina kukatwa kiholela

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wajumbe wa Chama cha soka Wilaya ya Ubungo (UFA) wametangaza kugomea kushiriki uchaguzi kwa kile wanachodai ni ukiukwaji wa utaratibu wa uchaguzi

Kwenye mkutano na waandishi wa habari wajumbe hao wamedai mchakato wa kupendekeza majina ya wagombea una mashaka baada ya majina ya baadhi ya wagombea kukatwa na kuachwa jina moja kwenye kila nafasi .

Wagombea nafasi ya mwenyekiti walikuwa wanne (4) lakini watatu wamekatwa limebaki jina moja , wagombea nafasi ya ujumbe walikuwa watano ,wanne wamekatwa amebaki mmoja .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live