Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wajumbe wamkataa alieshinda kwa kura 12

Kuraaa.png Wajumbe wamkataa alieshinda kwa kura 12

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wajumbe wa chama cha soka Wilaya ya Temeke (TEFA) wamekataa matokeo pamoja na Mwenyekiti mpya aliyetangazwa hii leo kwenye uchaguzi kwa kile wanachodai ,hawautambui uchaguzi huo .

Idadi ya Wanachama ni 120

Waliopiga kura 12

Kura zilizoharibika 0

Kura halali 12.

89 hawajapiga kabisa

Ally Kamtande kashinda Kwa kura 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live