Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wajapan wasafisha uwanja baada ya kuifunga Ujerumani

Mashabiki Wa Japan Wajapan wasafisha uwanja baada ya kuifunga Ujerumani

Thu, 24 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukubwa wa ushindi wao dhidi ya Ujerumani ungewafanya waondoke haraka usiku mzima kusherehekea lakini mashabiki wa Japan walionyesha kuwa tabia nzuri zimekita mizizi, haijalishi uwe na furaa ama hasira.

Baada ya mechi kukamilika, viwanja vya michezo kwa kawaida vinajaa mabaki ya chakula taka na vikombe vya plastiki vya vinywaji, vinavyoachwa kwa mtu mwingine kusafisha.

Wachezaji wao, wakiwa wamepata ushindi wa 2-1 dhidi ya mabingwa mara nne katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia, mashabiki wa Japan walisitisha sherehe kwa muda katika Uwanja wa Kimataifa wa Khalifa nchini Qatar ili kuusafisha kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live