Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafungaji Bora wa muda wote AFCON

Samuel Etoo Fills Wafungaji Bora wa muda wote AFCON

Sun, 31 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) ambayo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 2024, hapa tumekuwekea wafungaji bora wa muda wote wa michuano hiyo.

1. Samuel Eto'o (Kamerun | mabao 18)

2. Laurent Pokou (Ivory Coast| mabao 14)

3. Rasheed Yekini (Nigeria| mabao 13)

4. Hassan El-Shazly (Misri| mabao 12)

5. Didier Drogba (Ivory Coast| mabao 11)

6. Hossam Hassan (Misri| mabao 11)

7. Patrick Mboma (Cameroon| mabao 11)

8. Kalusha Bwalya (Zambia| mabao 10)

9. Santos (Tunisia| mabao 10)

10. Joel Tiehi (Ivory Coast| mabao 10)

11. Andre Ayew (Ghana | mabao 10)

12. Ndaye Mulamba (Zaire | mabao 10)

Kumbuka kuwa wachezaji walio karibu zaidi na rekodi ya Samuel Eto'o ni Andre Ayew (mabao 10) na Vincent Aboubakar (mabao 9).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live